
Salamu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo! Kwa furaha na shukrani, ninawakaribisha kwenye Mkutano wa 4 wa Union ya Kaskazini mwa Tanzania wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, utakaofanyika Chuo Kikuu cha Arusha, Septemba 07–09, 2025 chini ya kaulimbiu: “Yesu Anakuja, Nitakwenda!”

KWA MSAADA PIGA 0756505435|065341747493
© 2025 All Rights Reserved. Design By NTUC IT Department